1 of 8

Slide Notes

DownloadGo Live

Kongo Wakati wa Koloni

Published on Jun 22, 2016

No Description

PRESENTATION OUTLINE

Kongo Wakati wa Koloni

Jean Depara

Mpiga picha mKongo

Picha ya rafiki katika mji wa Leopoldville. Leopoldville ilikuwa maarufu kwa sababu ilikuwa na klubu ya wanamuziki wengine.

Picha ya mwanamke kijana pamoja na gari katika mji wa Leopoldville mwaka wa 1960.

Joseph Makula

kufanya kazi kwa kundi la Congopresse, ambapo alikuwa mpiga picha Mwafrika wa kwanza

Familia ya Kinois ambayo wanaitwa “evolues” kama wanaishi kama wabelgiani. Mume anavaa panga kwa wapicha na habari ya matembezi ya mfalme Boudoin wa Ubelgiji mwaka wa 1955

Muuzaji katika mji wa Kinshasa anauza nguo. Idadi ya wanaume ambao walifanya kazi kama wachuuzi, wauguzi na makatibu iliongeza baada ya mwaka wa elfu moja tisa mia na hamsini mpaka uhuru.

Msichana na mwalimu mzungu. Miaka baina ya 1950 na uhuru serikali ya kikoloni iliundwa shuleni nyingi na ilisema wakongo wangekuwa sawa na wabelgiji.